Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2017

My life

Picha
HISTORIA FUPI YA MAISHA YANGU My name is ERASTO THOMAS i was born in Mbeya region at mbalizi village in 1989, and also i am the first and the last born within a family of my father and my mother Katika maisha yangu hakuna jambo lililokuwarahisi kama wengine ambavyo wangeweza kuthania, japo nilijipa moyo katika kila hatua niliyokuwa nikipitia, na hata hivyo hali ya kiuchumi haikuwa nzuri sana kulingana na mkoa wangu wa mbeya ulivokuwa mbovu kwa suala zima la mzunguko wa pesa Japokuwa katika mkoa wangu kulikuwa kuna huo mzunguko mbovu wa pesa, wetu wetu hatukuweza kufa njaa sababu kulikuwa hakuna uhaba wa chakula kama ilivokuwa kwa mikoa mingine, na familia yetu ilitegemea hasa kilimo cha jembe la mkono kitu ambacho tuliweza pata chakula kiasi kudogo tu kwaajili ya kujikimu na sio vinginevyo. Wafanyakazi wengi waliopata nafasi ya kuajiliwa maofisini kwa wakati huo walijitahidi kwa hali na mali ili waweza kuwekeza zaidi kwa baadae kupitia miradi mbalimbali kama vile uf...