My life

HISTORIA FUPI YA MAISHA YANGU

My name is ERASTO THOMAS i was born in Mbeya region at mbalizi village in 1989, and also i am the first and the last born within a family of my father and my mother











Katika maisha yangu hakuna jambo lililokuwarahisi kama wengine ambavyo wangeweza kuthania, japo nilijipa moyo katika kila hatua niliyokuwa nikipitia, na hata hivyo hali ya kiuchumi haikuwa nzuri sana kulingana na mkoa wangu wa mbeya ulivokuwa mbovu kwa suala zima la mzunguko wa pesa
Japokuwa katika mkoa wangu kulikuwa kuna huo mzunguko mbovu wa pesa, wetu wetu hatukuweza kufa njaa sababu kulikuwa hakuna uhaba wa chakula kama ilivokuwa kwa mikoa mingine, na familia yetu ilitegemea hasa kilimo cha jembe la mkono kitu ambacho tuliweza pata chakula kiasi kudogo tu kwaajili ya kujikimu na sio vinginevyo. Wafanyakazi wengi waliopata nafasi ya kuajiliwa maofisini kwa wakati huo walijitahidi kwa hali na mali ili waweza kuwekeza zaidi kwa baadae kupitia miradi mbalimbali kama vile ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano ng'ombe, kuku, na mifugo mingineyo


Pia bila kusahau suala zima la elimu yangu ya sekondari sababu nayo iligubikwa na changamoto kadha wakadha ikiwemo uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi ambapo wengi wetu walikata tamaa na kukimbilia masoma ya sanaa na kwa wakati huo masomo hayo yalikuwa hayana soko sana kulinganisha na yale ya sayansi ikiwemo fizikia, baiolojia na kemia















Maoni